• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MADABA na mikakati ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto

Posted on: July 27th, 2024

HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba wamefanya kikao cha kujadili mpango mkakati waTaifa wa kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto (MTAKUWWA).

Afisa Utawi wa Jamii Shani kambuga ameeleza mwongozo ulioandaliwa kwaajili ya kufanikisha utekelezaji wa mpango kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya wanawake na watoto  ulioanzishwa mwaka wa fedha  2017/2018 na utekelezaji mwaka 2021/2022 hadi 2026.

“Mwongozo unaelekezwa namna ya kuunda kamati na mgawanyo wa majukumu na utendaji wa kamati za ulinzi wa wanawake na watoto kuanzia ngazi ya Taifa ,Tawala za Mikoa hadi Mamkala za Serikali za Mitaa”.

Amesema kamati hiyo imefanikiwa kutoa elimu kwa jamii juu ya ukatili wa wanawake na watoto katika shule za msingi 20 na shule 6 za sekondari na mikutano ya hadhara  vijiji na mitaa.

“Halmashauri kupitia idara ya afya ,ustawi wa jamii na lishe,maendeleo ya jamii na dawati la jinsia Wilaya imeendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa jamii kwa kushirikiana na vyombo vya sheria katika kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto,vipigo,unyanyasaji,ndoa za utotoni kwa jamii”.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Julai 26,2024.         

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa