SHULE ya Sekondari Madaba Mkoa wa Ruvuma imepokea kiasi cha shilingi milioni 30 kutoka Serikali kuu kwaajili ya ukarabati wa maabara ya Physics.
Maabara hiyo inatarajia kukamilika Februari 20,2023 na kuanza kutumika rasmi ikiwa na matokea makubwa kwa wanafunzi katika Shule hiyo na Halmashauri ya Madaba.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa