Kampeni ya chanjo ya Surua na Rubella Kitaifa kuanzia Februari 15 hadi 18 mwaka 2024 kwa watoto kuanzia umri wa miezi 9 hadi miaka 5.
chanjo hiyo itatolewa katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya.Hivyo baba,mama mlezi hakikisha mtoto anapata chanja ili kumkinga na magonjwa ya surua na Rubella
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa