• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

DED Madaba awatia moyo watumishi wa Hospitali ya Wilaya

Posted on: May 24th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji  Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed amewapongeza watumishi wa Hospitali ya Wilaya kwa kuendelea kusimamia ujenzi wa hospitali uliofikia hatua ya ukamilishaji na kuendelea kutoa huduma kwa  wagonjwa.

Hayo amezungumza alipotembelea na kukagua huduma zinazoendelea kutolewa kwa wananchi katika hospitali hiyo.

“Huu ni uzalendo wa hali ya juu Mganga mfawidhi nikupongeze na watumishi wote mnafanya kazi kubwa sana cha muhimu hakikisheni miradi ambayo Mhe. Rais ametuletea inakamilika kwa wakati  na kwa ubora”.

Mohamed amesema ziara yake ni kwaajili ya kuangalia changamoto mbalimbali na kuhakikisha anazitatua mpaka pale hospitali hiyo itakavyoanza kujitegemea kuanzia mwaka wa fedha ujao 2024/2025.

“Wahudumieni wananchi kwa weledi hayo ndio Mhe. Rais anayoyataka mjitoe kwa moyo kama kiapo chenu kinavyotaka kama kuna changamoto ofisi yangu ipo wazi hakikisheni mnafuata sheria,taratibu na kanuni’.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Mei 23,2024. 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa