Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed amewasili katika viwanja vya Nane nane Mbeya na kusaini katika kitabu cha wageni.
Mkurugenzi mtendaji amesalimiana wataalamu wa kilimo,uvuvi,ufunga wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.
Hata hivyo mkurugenzi amesalimiana na Waheshimiwa Madiwani na wajasiriamali waliopo katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa