• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

KUPATA HATI YA MSHAHARA (Salary slip)

Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip)

Mtumishi wa  umma  anaweza Kupata Hati ya Mshahara kwa  kujisajili kwenye mfumo wa Watumishi Portal. Kwenye mfumo huu wa watumishi utamuwezesha kupata taarifa zake za kiutumishi.

Mambo ya kuzingatia:

  • Fahamu Majina yako kamili
  • Hakikisha una barua pepe (e-mail) endapo hana atalazimika kufungua kabla
  • Fahamu CHECK NO. yako

Ili kujisajili Bofya hapa.Kujisajili kwenye mfumo

Pia unaweza kupata hati yako ya mshahara kwa kutumia mfumo mpya wa "Government Salary Slip Portal" ambapo utajisajili kwenye mfumo.

Kwenye Mfumo huu vitu vya kuzingatia ni pamoja na :

  • Check Namba ya Mtumishi
  • Majina kamili kama yalivyo kwenye mfumo wa Rasilimali Watu yaani HCMIS maarufu kama Lawson.
  • Tarehe ya kuzaliwa.
  • Vote Code, Sub Vote Code, Namba ya Akaunti ya Benki unayopitishia mshahara.
  • Fahamu pia Salary Scale, Salary Grade na Salary Step.
  • Barua pepe (Email) inayofanya kazi.

Ili kujisajili Bofya  https://salaryslip.mof.go.tz/Manage/EmployeeRegistration

au kuingia kwa waliojisajili kwenye Government Salary Slip Portal Bofya  https://salaryslip.mof.go.tz/Account/Login?ReturnUrl=%2F

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa