Posted on: February 8th, 2024
Kufuatia mvua za upepo zilizonyesha Februari 6,2024 zimeleta maafa na kuezua nyumba 10 Kata ya Mkongotema Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Mkoa wa Ruvuma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Ha...
Posted on: February 7th, 2024
MKUU wa Wilaya ya Songea Kapenjama Ndile amewaagiza watendaji kuhakikisha ifikapo Februari 27,2024 kufuta suala la kuzungumzia wanafunzi waliopangiwa kuripoti Shuleni Januari 2024 linafika tamati.
...
Posted on: February 5th, 2024
HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba wamefanya kikao cha tathimini ya Mkataba wa Lishe cha robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
Akitoa taarifa ya mafanikio ya utekelezaji wa mpango wa Lishe kwa ki...